Ili kutengeneza programu za simu inakubidi uwe na uwezo/uzijue lugha kadhaa za computer(computer language) mfano wa lugha hizo ni
1. Java
2. Kotlin
3. Swift
4. Hybird
5. Fluter n.k
Pia katika luga hizo ziko katika makundi mawili kuna luga ambazo unaweza kutengenezea Android Apps na zipo ambazo unatengenezea Ios Apps(app za iphones)
Mfano wa lugha hizo ni.
1. Lugha kwa ajili ya android
A. Java
B. Kotlin
C. Flutter
D. Hybird
2. Lugha kwa ajili ya ios
A. Swift
B. Flutter
C. Hybird n.k
Lugha kama vile fluter na hybid unaweza kuzitumia katika kutengenezea aina zote mbili za apps
2. Je tunatumia programu zipi kutengenezea mobile Apps
Tunatumia programu kama vile Android Studio( kwa simu za android) pia Xcode( kwa ios phones)
Somo linalofuata.
Je ni vipi ninaweza kutengeneza App yangu kama sina uelewa wa hizo lugha (codes)
Comments
Post a Comment